Hauezi nieka chini Me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Chini ya maji naona wakinyemelea Na roho zao mbaya na zimezea Walichukua vako yangu wakapotea nayo Sa wanataka kuchukua Jina yangu wapotee nayo haiezekani kabisa watu wangu Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu Niliamua kuchukua break kidogo Sa hii wanapiga kelele wakispread uongo Wanajaribu kunieka chini nainuka Wanajaribu kunipiga mpini lakini naziskuma Wanachora picha mbaya haina noma Badae watajua nani anasonga Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hii kitu nimepewa na Mungu uezininyanganya Mafans wangu sugu uezi wadanganya Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi Nadhani sahii mnajua hizo matusi zenu hazitusumbii Mwenye nguvu chali yangu mpishe Compe ni Compe yule noma ashinde Msani ustegemee sana watu wa... Chali yangu hivi karibuni watakukimbia Wachore mtu wangu jisaidie Watoke mtu wangu jismamie Wanakueka chini ndio wao wafeel wako juu Badae wanaonyesha nani ako juu Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Kila siku kazi yangu imekua mistari Kila siku kazi yao imekua utiaji Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu Na hustle ndio uzeeni nikule bidii yangu Unataka nisote mpaka nizimie Ama mafans wangu wote wanikimbie Haiwezekani kabisa watu wangu Kwani hauoni namaliza album yangu Utaharibu aje kitu haujatengeneza Ama unajijazia ulisaidia kujenga Tafadhali usifanye nicheke Genge iko hapa mpende msipende Hii ndio kitu me naminia Na milele me nitasimamia Nikisaidiwa na jeshi mzima Na fans wangu zaidi ya milioni sita