Nilipatana na huu dame mtaa moja California pumwani Mpaka leo hupanda na mi tu jukwaani Nikiroga watu na ngoma zangu kali Niko na yeye kwa hivyo jua tumetoka mbali Madame karibu wote walikuwa wamepigwa maball Mtaani ye ndio vajo ananitumia ma-missed call Anani-like lakini ananichorea CV yake anaona ni ka tu ntamchomea Lakini polepole tu ndio mwendo Kidogo kidogo akaanza kunionyesha tu upendo Nikamtoa kwa hao mahali alizaliwa Tukahangaika hangaika kutafuta keja na maziwa Ye pekee ndio alikuwa na mi hata ka niko chini Tukinywa strungi na mahamri za hamsini Musyoka alituweka kwa sq yake akatupa keja Couple balaa ya genge na mtu natesa Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe Unashughulikia kweli si siri Juu inakaa ni pale bibi ili mfukoni Niongeze mali Kanipeleka safari za mbali kama ndai Ya bahari Mahari ndio nangojea Na nani atajitolea Jinsi navyokupenda Ma-hater wanaponda Kila napokuwa na wee Wanateta na kukonda Si baby tulia na mimi Usiskize wanga Basi mrembo tulia na mimi Usiskize wanga Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe Mpango ya ndoa sasa tu ndio tunapanga Babake naona ni ka atanikata mapanga Roho juu tunaenda kurasha Pigia boy wa mine Frasha Ka unaskiza hii kwa harusi best man ni wewe Mafans wangu hunishikilianga wagenge Muda umewadia kuwapatia wajukuu Tuvigenge tujaze mitaa kupitisha juu Mimi na wee mimi na wewe Mtaa wapige kelele Mimi na wee mimi na wewe Mpaka milele Mimi na wee mimi na wewe Wacha wapige kelele Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa nini niko na wewe Kila mmoja ataka kujua Kwa sababu niko na wewe