Taswira naivuta kinoma Napambana nipate kile sina Taswira naivuta kinoma Napambana nipate kile sina Nimejikaza sijapata Pande zote duniani nimetamba Nilisoma nikatamarc Mpaka leo kazi sijapata Bado kidogo tu, nitatoboa Bado kidogo tu, nitatoboa Kama magharibi, mashariki me nasonga Kusini kaskazini ninasonga ×2 Napambana na maisha wee Na maisha wee Napambana na maisha wee Na maisha we Napambana na maisha wee Na maisha wee Ah ahh Na maisha we Ah ahh Na maisha we Na kagari nimebuy Na kanyumba nimejenga Juu amani nilidai And am not about to die With your pointless agendas Na hamjanijenga Bado kidogo tu, nitatoboa Bado kidogo tu, nitatoboa Kama magharibi, mashariki me nasonga Kusini kaskazini ninasonga ×2 Napambana na maisha wee Na maisha wee Napambana na maisha wee Na maisha we Napambana na maisha wee Na maisha wee Ah ahh Na maisha we Ah ahh Na maisha we Na maisha we Na maisha we Na maisha we Na maisha we Bado napambana (mbana, mbana, na maisha we) Napambana na maisha we Napambana na maisha we