Surprisee
Wakiongea usijibu chochote we baki bubu
Uko moyoni hawajui tuu
Nafurahi umeleta amani kwenye maisha yanguu
Povu liwatoke, wakaroge, nitabaki nawe
(Penzi kolezaa, bebi koleza
Hawatuoni wana makengeza, kengeza)×2
(Inabidi uniamini kukuacha katuu,
Katu sijui nini na nini hayo maneno ya watu)×2
(Lelelee jimwa jimwa jimwageee)×2
Maneno maneno wakikuambia nambiee
Midomo midomo kazi yake kuongea, wapuuzie
Nitauboresha boresha(upendoooo)
Nitauboresha miee
Penzi koleza...
Inabidi uniamin kukuacha katu...
Sijui ni na nini...
Leleleh jimwa...
(Inabidi uniamini kukuacha katu...)×2
(Aee lele le jimwa jimwa jimwage)×2
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri