Kishore Kumar Hits

Kassim Mganga - Awena şarkı sözleri

Sanatçı: Kassim Mganga

albüm: Haiwezekani

Niliapa ukiondoka mpenzi, n'taondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali n'talia nawe
Ina maana hata kugeuka mpenzi kunitazama, hutaki Awena
Basi kama n'na kosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke, eeh
Tul'opanga zamani ina maana si' chochote
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe (kipenzi changu Awena)
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe (rudisha moyo Awena)
Iweje penzi langu kwako umelikatisha iweje, eh?
Iweje penzi langu kwako umelikatisha?
Ina maana tunda langu basi utamu umekwisha baby!
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu huliitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, rudisha moyo Awena

Nahisi kunamtu amekubadilisha mawazo
Ama rafiki zako wasiopenda penzi lako
Tueleze kitu ambacho ulihisi ungepata afadhali mpenzi

Maneno matamu ulionipa chumbani
Huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutirilika mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda n'toweke duniani, hii
Unaniacha kipindi ambacho sitaraji, mpenzi
Moyo wangu bado unaliitaji lako penzi
Utaniacha kipindi ambacho sitaraji, mpenzi
Moyo wangu bado unaliitaji lako penzi
Rudi Awena
Rudi mpenzi
Rudi Awena
Rudi mpenzi, basi eh, eh
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu huliitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, rudisha moyo Awena
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu huliitajia Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitajia Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, rudisha moyo Awena
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu huliitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, rudisha moyo Awena
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu huliitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niujuao mi' nawe, rudisha moyo Awena
Topital Record (Topital Record)
Turn of the Noon
Clubizone, Zanzibar

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar