Natamani angekuwa na Pesa love ningekununulia gorofa Natamani angekuwa na pesa love na utajiri wa Bhakresa Nikununulie shamba kilembwa na makopa na lozera Nikununulie motokaa na fweza kwa mashosti ukauze sura Leo nipo kesho sipo hautoteseka Penzi langu penzi lako pumzi umeshika Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza Mimi nawe wakesho na keaho sio wa leo na kesho Hallow baby Nife nawe nakula kipo penzi lisiwe na mwisho Hallow mpenzi Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza, Hallow Ntakutunzia penzi manuari Chini nipige mbizi kwa safari Kukwangusha siwezi mi hodari Ntalinda ntalienzi kila hali x2 Baby eeh baby eeh Dunia ya longa longa Baby eeh baby eeeh Masikio weka pamba Waambie eeh na wajue eeh Kwako nishatia nanga Naapa milele sitolivunja abadani Napiga vigele pete ya ndoa kidoleni Mimi nawe wakesho na kesho Sio waleo na kesho hallow baby Nife nawe nakula kiapo penzi lisiwe na mwisho Halow mpenzii Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza, Hallow Ntakutunzia penzi manuari Chini nipige mbizi kwa safari Kukwangusha siwezi mi hodari Ntalinda ntalienzi kila hali x2