Kishore Kumar Hits

Rama Dee - Kipenda Roho şarkı sözleri

Sanatçı: Rama Dee

albüm: Kipenda Roho


Mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu
Chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu
Kwenye mvua metope si ndumba oh
Yasikufanye uchoke mchumba oh
Wanapanga maneno kama chati za kumi bora
Kuumpima upendo ni hatari
Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu
Nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu
Tulishinde lengo lao lao
Lengo lao lao lisitimie...
Varse 2
Ukitazama marengo haukosei, haupotei kwenye love
Wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri
Mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe
Angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii
For the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu
Your my (NGO)
Tusimame babe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar