Gang Gang Genge la Boondoksi Ka-Kansoul Kigotho tiga kurira Madathi ti maheu Na waria ni ukuharuo Wee weee Sadafah Kigotho tiga kurira Madathi ti maheu Na waria ni ukuharuo Wee weee (Taniua) Ka unapenda kureadana (Hainishtui) Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui) Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui) Na hupendagi wasichana (Hainishtui) Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui) Na ati leo unataka dawa (Hainishtui) Unapenda umama sana (Hainishtui) Na haupendagi wasichana (Hainishtui) Hainishtui lakini nimeshtuka We ni mwanaume umewekwa umefugwa Haunishtui na hio gari ya daddie Haunishtui na hio pesa ya mammie Toka hapa, toka nani Unaturingia vile umeomoka Ju ulitoka Kayole siku hizi unaishi Umoja Hautushtui toa ufala hapa Nakuoshea dem yako mi ndio mopstick Haikosi pia nyi mnanicopy Ju leo zikiisha mi ndio choki Na we ndo chali ama we ni ka dem Chunga dem yako mi nitakabeng Abiro chwade mi ndio matek Mpek mpek ndo usimwage mate Cheng cheng ndo asikule kake Kigotho tiga kurira Madathi ti maheu Na waria ni ukuharuo Wee weee (Taniua) Ka unapenda kureandana (Hainishtui) Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui) Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui) Na hupendagi wasichana (Hainishtui) Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui) Na ati leo unataka dawa (Hainishtui) Unapenda umama sana (Hainishtui) Na haupendagi wasichana (Hainishtui) I'm a jabba man na siwezi katema Kashada na ka glass ka kupima Fix your make up hater panguza kimira See you later, we si mzing we si king Ata ka ni kukaza usikaze kunyi We ni mtaro nilizama usikuje 2 weeks Na wao hunijudge tu sana na hawalipwi Na mangeus wao be like Odi nadai miti Vitisho hainishtui (Uwii) Buda utajua haujui (Uwii) Ah kila mtu anakujua kama choo ya gava Mbogi yako inakaa fruity sana Na wonder manzi yako ananivutianga Adress mi vile una-adress your father Kigotho tiga kurira Madathi ti maheu Na waria ni ukuharuo Wee weee (Taniua) Ka unapenda kureandana (Hainishtui) Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui) Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui) Na hupendagi wasichana (Hainishtui) Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui) Na ati leo unataka dawa (Hainishtui) Unapenda umama sana (Hainishtui) Na haupendagi wasichana (Hainishtui) Mkuruweng kalibonywa na matire za mafinje Sinyor Chicken Inn kako in de Kamepatana na sponyo kako njite Mission Mr kametekwa Kite Top 10 kalivuka side za continent Meza mbili mbili ni ma supplement Kameomoka kalipatch ndio ni marinate Niko ngiri ngiri hii ni monument Kigotho tiga kurira Madathi ti maheu Na waria ni ukuharuo Wee weee (Taniua) Ka unapenda kureandana (Hainishtui) Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui) Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui) Na hupendagi wasichana (Hainishtui) Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui) Na ati leo unataka dawa (Hainishtui) Unapenda umama sana (Hainishtui) Na haupendagi wasichana (Hainishtui) Tumebeba usinibebe ufalala la Tumebeba usinibebe ufalala la Tumebeba usinibebe ufalala la Lala la la la la Tumebeba usinibebe ufalala la Tumebeba usinibebe ufalala la Tumebeba usinibebe ufalala la Lala la la la la