Kishore Kumar Hits

SERRO - Mama şarkı sözleri

Sanatçı: SERRO

albüm: Kuwe


Patiently as I walk to you
I can trust my cares to you
And I'm sure that I will get a breakthrough
Coz that is simply what you do
Ninapolia nawe unalia pia
Ninapocheka nawe unacheka pia
Ninapohitaji najua utanipa
Ju wewe ndiwe wewe
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Wewe ni mama
My rock my power
Wewe ni mama
My knight in shining amour
Wewe ni mama
My number one protector
Wewe ni mama, uuu my propeller
Siku moja nitakupatia pia
Kamwe wewe hautalia
Siku moja nitakujengea nyumba
Ile siku nitakua superstar
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Mamaaaaa
Helelehe
Mama mama ooh
Mama mama ooh
Mama mama ooh
Nakuamini mama yangu
Nakudhamini mama we

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar