Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Wewe
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
I need You, You need me
Huo ni ukweli wa mambo
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Kitabu hakihitaji msomaji
Mwalimu hahitaji mwanafunzi
Biashara haihitaji mteja
(We... Oooh)
Producer hahitaji mwimbaji
Mchungaji hahitaji mshirika
Raisi hahitaji mwananchi
Sote twaitajiana
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Ewe mtumishi we
Kiongozi wa Taifa we
Nina neno kidogo
Naomba niseme kidogo
Mungu mgawa wa Vipawa
Anayetoa Neema
Amenipa fungu langu
Wengine kawapa mengine
Ningepewa vyote mie
Nifanye kila kitu mwenyewe
Hakika nisingeweza
Popote nisingeenda
Kawapa wengine kuchunga
Wengine kufundisha
Wengine Unabii
Na wengine kufasili lugha
Wengine kawapa Utume
Wengine Uinjilisti
Na yote lengo lake moja
Ujengwe Mwili wa Kristo
Hajasema aliye zaidi
Wala aliye dhaifu
Kila mtu na neema yake
Eeeh
Lengo tujenge mwili wa Kristo
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
(Eeeh, Wooh Wooh)
Neema Hutambuana
Neema Huheshimiana
Neema Huinuana
Neema Huombeana
Neema Zikikutana
Neema Husalimiana
Neema Hazishindani
Neema Huzaa furaha
Neema Hufunika udhaifu
Neema Hufungua milango
Neema ni Mkono wa Mungu
Neema Inanipa kusonga
Napenda Neema Yako
Nakubali Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema yako
Naheshimu Neema yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Napenda Neema Yako
Natambua Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Neema Yako
Napenda Neema Yako
Naheshimu Neema Yako
Nakuhitaji, Wanihitaji
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri