Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Thamani Ya Wokovu şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Nipe Macho


Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Sikia
Ngoja nikusimulie
Habari ya kijana mmoja
Kijana mtanashati
Mpole kipenzi cha wengi
Anazo sifa nyingi lakini
Kuu kwake ni upendo
Siku moja alikutana na mwanamke msamaria kisimani
Kijana kamwomba maji
Mwanamke naye kamuuliza
Tangu lini wayahudi na wasamaria tukashikamana
Kijana akamwambia
Ungejua mimi ni maji yaliyo hai
Ungekuja kwangu unywe maji
Ili usiwe na kiu tena
Mimi aliniona nilikokuwa nimechoka,nimechakaa
Kijana kanipenda, kanichukua kanitengenezaaa
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa
Maisha ni hazina
Iliyo mikononi mwa Mungu
Hakuna ajuaye, salio la siku zake
Ukiona ni mzima leo, hujui kesho itakuwaje
Ndiyo maana nimeona nikukumbushe habari za Yesu
Yeye akikupenda,wala hatoitoi kasoro
Ukimupokea leo anabadili historia yako
Atakuchukua hivyo ulivyo akufanye kiumbe kipya
Hata kama unalia leo jua kesho utacheka
Huyu Mwanaume Yesu ni wa ajabu wala hana mfano wake
Upendo wake ulivyo mkuu kwetu akajiona heri ajitoe
Aliacha enzi na utukufu mbinguni
Akakubali mateso hata kifo cha aibu
Akavuliwa nguo, ili mimi nipone
Akatemewa mate ili mimi niwe huru eh Yeu Eh Yesu
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa
Thamani ya Wokovu wangu
Anayejua ni Mwokozi wangu
Gharama ya maisha yangu
Anayejua ni Muumba
Nikisema nimeokokaa
Mbona hamnielewiii
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaaa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar