Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Mungu Wa Huruma şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Nipe Macho


Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Toka Mbinguni,
Bwana alipochungulia mwanadamu
Aone kama ni mtu mwenye akili
Amtafutaye Mungu
Wote wamepotoka
Wote wameoza
Hakuna atendaye mema ata mmoja Mungu
Wapendwa tukikosana
Tuonane kwa upendo
Wakubwa kwa wadogo
Viongozi kwa viongozi
Watumishii
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Dunia imeharibika sana
Uovu mwingi kila mahali
Kama si neema yako, nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mwanadamu anaogopwa sanakuliko mnyama mkali
Kuaminiana hakupo tena, ndugu kusalitiana
Imani imetoeka misingi imeharibika
Neno lako inasema
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu
Watajinyenyekesha na kuomba
Na kutafuta uso
Na kuliacha njia zao mbaya
Ntasikia toka mbinguni
Na kuwasemeha dhambi zao
Na kuponya nchi yako
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Mungu wa Huruma
Utuhurumie
Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar