Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Roho şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Akutendee Nini


Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani yangu
Pamoja nawe nitashinda
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashinda×2
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu ×2
(Nina nguvu)nina nguvu ×3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salama×3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashinda×3
Pamoja nawe nitashindaa
Kama ardhi isiyo na maji inapasuka ndivyo Roho nakuhitaji fanya makao
Kwangu
Moyo wangu wakutamani
Nafsi yangu yaona kiu
Ee Roho kaa ndani yangu
Bila wewe siko salama
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashinda×2
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu ×2
(Nina nguvu)nina nguvu ×3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salama×3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashinda×3
Pamoja nawe nitashindaa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar