Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Yote Alimaliza şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Akutendee Nini


Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)

Yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Dhiki zetu zote, alimaliza yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Vilio vyetu vyote, alimaliza vyote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Oh, yote alimaliza, yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)
Bwana wangu Yesu, alimaliza yote msalabani
(Yote alimaliza, yote msalabani)

Yote yote (alimaliza, yote msalabani)
Bwana wangu Yesu (alimaliza, yote msalabani)
Kwa kupigwa kwake (alimaliza, yote msalabani)
Taji la miba kichwani (alimaliza, yote msalabani)
Mkuki mbavuni (alimaliza, yote msalabani)
Yote, yote (alimaliza, yote msalabani)
Bwana wangu Yesu (alimaliza, yote msalabani)
Mateso yalikwisha (alimaliza, yote msalabani)
Mama usilie (alimaliza, yote msalabani)
Ndugu jipe moyo (alimaliza, yote msalabani)
Yote, yote (alimaliza, yote msalabani)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar