Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Naona fahari kukuabudu Ni fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Eeh Yesu vizuri kuwa wako Naona fahari kutembea nawe Eeh nitembee nawe Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Naona raha nikuimbie Naona raha nikuchezee Naona raha nikuinue Ni fahari kuwa nawe eeh Naona raha nikuchezee Asubuhi, mchana, jioni majira yote Yesu wee, naona raha nikuchezee Naona vizuri nishike mkono Nishike mkono Yesu nitembee nawe Naona vizuri nishike mkono Nishike mkono Yesu nitembee nawe Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Jinsi ulivyonipenda Msalabani ukanifia Aibu ukanivua Mizigo ukanitua Na machozi ukanifuta Yesu Nasikia vizuri kwako Naona fahari kutembea nawe Naona raha kuitwa wako Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Raha raha Naona raha, furaha Raha raha Naona raha, furaha Naona fahari kukuabudu Fahari kukuabudu Nasikia vizuri kuwa wako Vizuri kuwa wako Raha raha Naona raha, furaha Raha raha Naona raha, furaha Raha raha Naona raha, furaha Raha raha Naona raha, furaha