Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Mali Ya Bwana şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Kwa kanisa La Kristu

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu

Enyi mataifa msifuni bwana
Enyi watu wote muhidini bwana
Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu
Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu
Mshukuru bwana kwakua ni mwema
Maana fadhili zake ni za milele

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar