Sikwa bati mbaya uko hai leo Na sio kwamba wewe ni-mujanja kuliko wale walio lala Ila yote ni muujiza ya Mungu tu Ni muujiza tu You're still alive Nikilala niamke Mkiona natembea Mwenzenu kwangu ni muujiza Asubuhi kuna kunakucha Jioni ikiingia Maisha yangu, mimi ni muujiza tu Siku ikipita Mwezi na mwaka unakwisha Mimi hee kwangu ni muujiza tu Eeeeh Yesu, eeeh Yesu Bwana wangu weeh Weeh kwangu ni muujiza Mimi ni muujiza Maisha yangu ni muujiza Eh Bwana Weeh kwangu ni muujiza Nikilala ni muujiza (muujiza) Nikiamuka ni muujiza (naona muujiza) Eh Bwana, wewe kwangu ni muujiza Kuna waliolala Hawakuamka Eh Bwana, naona ni muujiza Walionza safari Hawakufika Mimi leo, najiona ni muujiza Kuwa hai Kutangaza neno lako Bwana kwangu, mimi ni muujiza Sina sababu Ya kunyamaza Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza Mimi ni muujiza (muujiza) Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza) Eh Bwana (eeh Bwana) Weeh kwangu ni muujiza (eeh Bwana, muujiza) Nikilala ni muujiza (eeh muujiza) Nikiamuka ni muujiza (whoo) Eh Bwana (ooh-oh) Wewe kwangu ni muujiza (eeh yea) Oh yea Oh yea Oh Yesu weeh Oh yea Oh Yesu weeh Yesu wangu, oooh Hey yea yea yea Mimi ni muujiza (muujiza) Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza) Eh Bwana (eeh Bwana) Weeh kwangu ni muujiza (kila kitu ni muujiza) Nikilala ni muujiza (eeh, ni muujiza) Nikiamuka ni muujiza (nasema ni muujiza) Eh Bwana (eeh Bwana) Wewe kwangu ni muujiza (Hey yea yea yea yea yea yea yea) Mimi ni muujiza (muujiza) Maisha yangu ni muujiza (inapita ni muujiza) Eh Bwana (muujiza) Weeh kwangu (muujiza) ni muujiza (muujiza, eeh Bwana) Nikilala ni muujiza (muujiza!) Nikiamuka ni muujiza Eh Bwana (eeh Bwana) Wewe kwangu ni muujiza