Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Shusha Nyavu şarkı sözleri

Sanatçı: Christina Shusho

albüm: Shusha Nyavu


Alipokwisha kunenakunena, alimwambia Simoni.
Tweka mpaka kilindini, kashushe nyavu zenu.
YESU, alipokwisha kunena, alimwambia Simoni,
Tweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenu.
Bwana mkubwaa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha.
Bwana mkubwa, tumefanya kazi hata tusipate kitu.
Bwana mukubwaa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha.
Bwana mkubwa, tumefanya kazi hata tusipate kitu.
Lakini kwa neno lako, Nashusha nyavu.
Nashusha nyavu, nashushaa nyavu.
Nashusha nyavu, (Bwana kwa neno lako)
Nashusha nyavu, (Neno lako)
Nashusha nyavu, (Yesu kwa neno lako)
Nashusha nyavu (Nashusha nyavuu) Nashusha nyavu (Neno lakoo)
Bwana kwa neno lako, (Yesu tuma neno)
Najua nikiwa nawe, bwana nitasimama tena.
Hata nikilemewa, wewe utanishika tena.
Hata vita inijie, bwana utanipigania.
Watesi wajipange, bwana utapigana nao.
Eeh, nimetoa mwenzenu nimetoa.
Nimetoa na mafuta nikapewa.
Nikapanda, na mbegu nikapanda.
Nikapanda ila mvua haikunyesha.
Bwana mkubwaa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha.
Bwana mkubwa, tumefanya kazi hata tusipate kitu.
Bwana mkubwaa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha.
Bwana mkubwa, tumefanya kazi hata tusipate kitu.
Lakini kwa neno lako, Nashusha nyavu.
Nashusha nyavu Nashusha nyavu.
Nashusha nyavu (Bwana kwa neno lako)
Nashusha nyavu (Kwa neno lako)
Nashusha nyavu (Yesu kwa neno lako)
Nashusha nyavu (Nashusha nyavuu). Nashusha nyavu (Neno lakoo)
Bwana kwa neno lako, (Yesu tuma neno)
Eeh, nashusha nyavu.
Turn it around, (nashusha nyavu) turn it around, wanasema tena.
(Nashusha nyavu) turn it around,
Turn it around (nashusha nyavu) turn it around, oh turn it around (nashusha nyavu)
Eeeh, sitachoka (nashusha nyavu)
Sitakata tamaa (nashusha nyavu)
Bwana tuma neno (nashusha nyavu) ...bwana
Eeeh, Turn it around, turn it around, oh turn it around.
Turn it around, turn it around, oh turn it around.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar