Selina Nyambok, you're so beautiful Sitamruhusu akuchape Nami silali, sipati usingizi Kula siwezi, ukilia Selina Nyambok You're so beautiful Selina Nyambok Wooh Selina Nyambok, you're so beautiful Ulitoka kwenu, bila alama Huu si upendo, hiyo si heshima Watu wazima, huongea Kama si hivyo 'Ngeoa kondoo Selina mrembo Wooh Selina Nyambok, you're so beautiful Ntakuwakilisha, mbele ya wazee Kama ni shuka, kama ni mbuzi Ntawarudishia, mara mbili Selina Nyambok You're so beautiful I want to marry you So very, very beautiful Selina Nyambok You're so beautiful I want to marry you So very, so very beautiful So very beautiful