Mariana mariana, nimechoka kusota Nimeamua leo ni leo, nitabadili picha Mariana mariana, niliomba unipe mwaka Usitupe upendo wetu, na usiamke kutoka ndoto yetu Nilinunua baisikeli, kupitia mkopo wa benki, Kusafirisha abiria, lakini iliibiwa, Mariana mariana, ulitafuta visa Yakuenda nchi ya uropa Ukaniacha juu yapesaa Hakunatakae elezaa Kukuu penda vile nakupenda Najua upendeo hauliwi Lakini moyo haudanganywi Nilinunua shanbaa Na nilipanda mimiea Ya kuuza marikiti Lakini ukaame ukanirudisha magotiini Wowwowoo Uhuhuhu Ohohoho Instumentals Mariana mariana Nilikua nimexhoka Kwa vile umaskini Utafanya unitoroke Mariana mariana Nilikomboa bunduki Niliamua leo ni leo Nilikua na mpango mufti Kama vile kewnye muvi Nilingia kwa benki Nilisema lala chini Nikajaziwa tikiti Badi mimi ni huyo nikajivuta upesi Nikauficha mzigo Na nimeiba gari Na nikaenda mmwendo kadi Lakini kadi haishindi risasi Zinanyesha kama mvua Naomba mungu atani pokea Ohhohho wouoh Ukiulizwa kwanini Kwamakumbusho yangu Waelze nilikataa kuishi na matumaini pekee Mariana mariana jambo la mwisho kwa mizizi ya mti wetu nimekuachai zawadi iliiusinitoroke