Ukitajwa utaitikia kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Sh sh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo moshi ya local no Sh sh puff moja no Front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze Some days to ballot naona MCA ndio amekuja kuresume kazi First time in public na amekuja kuwacrash ka kamikaze Kaa huwezi drill jipange na kaa unaona unaeza nireach kajikaze Tuko na maafande pande wanangoja orders from sergeant Gava haiezi gawa mkate kaa uko lucky watakuachia mabakshish Sai tuko mamzinga mabale nikiongeza hapo ganja kalale Mavete walizima hapo ngware after wachome mamoshi za foreign Back then tukianzanga hii mziki ilikua tu DC na sisi Burden tunamanga na siblings si ile yenye ulikamilisha kamili Mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi Maisha ya mpini hubidi tukiwanga msoto avoid tu polisi Ukitajwa utaitikia kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Sh sh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Sh sh puff moja no Rule ya mastoner moja, the roller lazma apatiwe the honours Hauezi come kuchoma ngoja na iyo kiherehere We ni joker smoker Tell'em tuko matembe tuna pepea mbele kama Johnny za Mbeere Usipende bwerere fika maibe usiseme uliuziwa mkebe Ndani ya moshogi na ki mothongi tuambie utatoa motoi Courtesy ile design after kukuibia tunakuambia sorry Karatasi ikihide tunaingia maili kuwashika bei ya jioni Tortoise anawalk tu slowly bila pressure ni ka ako macodeine Boarding si uingia na irori tunakuja na hasira zote ploti Kuwaburn siku ya 40 naskia kuna ngati aliperemba mbogi Missionaries walituona madoggy, wengine walituona matodhi Walienda kwa mrogi kushika magondi Next thing naskia kwa courti Ukitajwa utaitikia kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Sh sh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Sh sh puff moja no