Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Scar Mkadinali (Marangapi) şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: Scar Mkadinali (Marangapi)


Yeah, yea, yeah, aah (dre)
Dar es Salaam kush vumvum walai
Nambuli na toto walai
Najulikana morosho huko Nai
Akanipea pum pum kwa ndai
Mara ngapi, nlikukataza mara ngapi
Hii ni click ya manut case fanya mara that
That
Raba dat dat, taba taba tat tat
Taba tat tat ta mara zat zat, yoh for real
Yoh hapa chap chap, ngaja na ma tap tap
Jaba kwa bahasha, charger kwa my samsung
Bratha man I can't stop
Niggahs tryna catch up
Hater tuna subtract, Jidi ndio ana sub scar
We are fresh from nowhere ah
Shika mahewa
Mameno machache unaelewa, naelewa
Bigribi dat dat bi dat dat
Short ka karat, kistage kimsamiat
Hiriboom hiroshima
King kong usicheke na kima
Kama uongo nayupo anayaamini
Mazima zi
Ah, na utakimya g nikishaongeza bugizi
Ndani ya kinywaji
Dar es Salaam kush vumvum walai
Nambuli na toto walai
Najulikana morosho huko Nai
Akanipea pum pum kwa ndai
Mara ngapi, nlikukataza mara ngapi
Hii ni click ya manut case fanya mara that
That
Raba dat dat, taba taba tat tat
Taba tat tat ta mara zat zat
Mtoto mkali anataka sakata
Medi kali inakata chakata
Tafasari hatutaki matata
Cheza mbali na mtoto wa kata
Jia watoo wakali, biringita nao
Yeah for real
Kama gita ukipita pita piga bao
Yeah, tunawashika ka karao
Jina kwenye streets na mitandao
Yeah, wanawashwa wanachomwa
Allah u akbar before I blow up
I just wanna rap, trap and be the owner
Pa pa pa pa pa kwa mainformer
Hehe, huwanga ngori kuwa master
So kifare na kidungi is a must have
Naroll na mashawry wana standards
Shawries that pull up in their dad's cars
We si rasta hizo dredi zina dandruff
Kwa tamasha mi ndio peddy nawanasa
Na kishasha hi mambo mingi tuliwacha
Ningetaka kukuseti nina haraka
They call me Scardé, I cannot stand them
Lazima ujipange, mi nawashikaje
Hakuna huruma kwa hater labda on sunday
Ukimiskuma ukipita lazma katambe
Dar es Salaam kush vumvum walai
Nambuli na toto walai
Najulikana morosho huko Nai
Akanipea pum pum kwa ndai
Mara ngapi, nlikukataza mara ngapi
Hii ni click ya manut case fanya mara that
That
Raba dat dat, taba taba tat tat mara zat zat
Mtoto mkali anataka sakata
Medi kali inakata chakata
Tafasari hatutaki matata
Cheza mbali na mtoto wa kata

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar