Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Patrol şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: WADA (The Healing of a Nation)

Drillers drillers
Shout out to drillers manze
Ayo Chino, you again
Man a driller yo
Kama unajua mkondo, hatufollow exilo
Saa ingine si huingia Molo
Mono stereo hatujali, si bora tu uturecordie vocals
Photo moto highlights, hadi siku hizi wanapause kwa koto
911 wana more calls ya mwisho youts walinyuria mokoro
Pa! pa! pa! Manduru si huziskia hatukujua ni wezi
Labda auntie ako nditni anapigwa kimechi
Life kwa tips ni crazy, kuna ule underage alipatiwa ukedi
Ready or not si tukitokea iteni mavedi
Hauskii alifire na akahata, tukamgeuzia sai ako Lang'ata
Faster mutaratara, si hatuna time ya mangata
Uongo unakata utaacha kukana una lugha ya makanga
Dexter alimarwa sema kukacha kadera alihepa mambang'a
Patrol patrol kwa ndege (patrol)
Mbaru na hata kanjo (yoh)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder)
Knock, knock, knock sato
Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti

Yoh yoh walidhani mi ni John Kiriamiti
Ilikuwa nifungue but wangenishika
Key chini ya kiti spliff kwa meza
Hao si wakuwabribe na tenga scene ilipigwa sogi alirenga
Black eye hadi anapandisha Ray-Ban, labda swag ama anaficha radar
Neighbour jana aliniandalia pweza
Dick ndani ya pussy drill hadi rengwa
May back mi sikuwa na pesa
Sai na manifest tu kitu ka mayback
Daughter ya Laila so ukimcross mangumi, ngumu ka payback
Raruka ka tailor, area flani mwere anatepwa na ketepa
Na after kuipepeta, make sure unaambia uyo bitch see you later
Pereka pereka, unajionanga mzing kumbe we ni hater
Makolo kwa mrenga na kuna jeshi imechafua bling hautapenda
Na sijawahi ona mkeka tangu ramza but Jah ananipenda
Patrol patrol kwa ndege (patrol)
Mbaru na hata kanjo (yoh)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder)
Knock, knock, knock sato
Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti
Patrol, patrol kwa ndege (patrol)
Mbaru na hata kanjo (yoh)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder)
Knock, knock, knock sato
Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep)
Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder)
Patrol patrol kwa ndege
Wiu, wiu, wiu
Wiu, wiu, wiu
Patrol, patrol kwa ndege
Wiu, wiu, wiu
Wiu, wiu, wiu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar