Yoh, yoh, yoh
Wada
Asem April, you killed this track, killer
Ulibaki home, tukaingia mboka kusearch for doh
Ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh

Full of jokes, we si gangster set up shop rudi riko
Pull your socks we ni mjanja leta doh twende tublow
Funga ndom, pigwa shasha make sure joh umeuza kioo
Sunda kanja kanja mbang'a na utaona utauza kilo
Stivo alinijalia mathongo juu ati mi sipendangi madongo
Huyo naye akadai ass no more juu ati nilismash nikadoro
Nilimshow sifanyangi pillow talk unapewa shot na unaenda home
Tulikua na pillow block, drive-by shots na watu wakadoz
Hesabu loss bro, lakini ukibeba mto utalost
Pigwa msumari Kwa cross, ulikuwa unajiona Jesus the lord
Hio kitu inakuanga nzito, yako ni simple kwa hivyo ni imbo
Video mko na prop infact usitokee alafu umdrop
Doz chini, doz, doz chini, chini yoh
Boss nini, boss, boss ntakachigi yoh
Ulibaki home, tukaingia mboka kusearch for doh
Ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Ulibaki home, tukaingia mboka kusearch for doh
Ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Sioni fiti, naona dim dim ama naona grim
Usijichoche Kwariz mtafika keja hamjalipa bills
Niko masteam, kidurban poison nimechomoa sleeve
Knowledge si free, utalipia na attention
Choma kisplif, ndio upunguze hio tension
Beshte alipita tero akaingia inda kaa ameficha ten bob
'Tapita hii mateso, kwani ni kesho
Unashoot watu wako na license to kill, yeah
Maithaa 'ii inabidi pia unatii
GK inapendanga pia raia ikipri
S'nanga beef, but kaa inabidi wanisa watableed
Niko na AJ Kwa block nachora vile n'tas'mamisha kaplot
Niliukewa Michele Kwa tot zangu z'kashika mi nd'i nikawarob
Ulibaki home, tukaingia mboka kusearch for doh
Ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Ulibaki home, tukaingia mboka kusearch for doh
Ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Sai cheki bro, ulicock na ukamiss joh
Поcмотреть все песни артиста