(Eyuh chino you again) Niliondoko wakadai niliomoka Yoh yoh yoh But its true, hawa ma fool hawakumbuki Nikilala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota Niliondoka wakadai niliomoka But its true, hawa mafool hawakumbuki Nikilala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota Ukiwa washwash ka Krotus Najua hatuwezi sota Mosh mosh pff pff puff tu moja Hata Potus huskii hudunga floater Hi iende hao warazi mapromoter Napenda fashion lakini zaidi cash Tunapiga tapo huwezi ona tuki snatch Tunaingia prado tukidondoka mat Infact, si ndio standard ya rap Wako lazy hawaezi hata kutolea mra Kama ekis waki crack down crack Hao ma rasist wanafaa 'jue black don't crack Tuko Memphis tukipass out shush Niliondoko wakadai niliomoka (Yoh yoh yoh) But its true, hawa mafool Hawakumbuki nikilala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota Niliondoka wakadai niliomoka But its true hawa mafool Hawakumbuki nikilala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota Huku si wadaf sana adi tunasweat oil Watu hawajamanga ndio maana wanatoil Makanga alikangwa ju alikinia coins Hao mafala wanadhani tuko enzi za Moi Yoh, we ni super hero unawork supermarket Niko na arif anapendanga tu ma ratchet Sai ako solo kwa hosi ma crutches No crashes, no wife, no girlfriend but heartbreaks Pasi alitaka niende sunday kumwambia asanti Past east mchana anavaa kama Ashanti Ekeni doh ka just struggle republic Nchi imejaa watalii na haa haina maji Nilindoka wakadai niliomoka (Yoh yoh yoh) But its true, hawa mafool Hawakumbuki nikala kwa mrota Niliondoka wakadai niliomoka But its true hawa mafool Hawakumbuki nikilala kwa mrota Ukiwa booze utalala kwa mrota