Ayo, yo, yo, yo Haukuskia rumours haukuskia rumours (ooh) Muthurwa kuna charli alinyuria Haukuskia rumours haukuskia rumours Afande apo nyuma pia aliachaiwa mchuma Haukuskia rumours haukuskia rumours Pesa ya covid hao watiaji hauskii wamekula Haukuskia rumours haukuskia rumours Dera ya shawry ndo imetuma Mwangi akatumwa Substance abuse twenty four hours juu ya curfew Tumechrome ndani ya boot ya whip ya mdabus Tuko laid back tukiskia akina Taabu God aitwe God jo kidogo tuingie mbaru Kila mtu anapiga show live sai IG Sue who? Tuko Nairobi izo pelekea YG Ni gwaash flani na nywele shaggy it wasn't me Mi nilipitia kwenu mkafail kuacknowledge Rabii Nabii tangu sixteen, sixteens kwa beat Kwa chief anaku p3 kwa ivo ana kupiece Kwa street usijoke na si unaeza bleed Tuko D apo reli Mowlem ya chini Tunaichimbianga auskii adi mpaka kwa filter Rende ya bilaa but we tutakuingia Bicham Mdenge mfisa mahari nililipa Sai naikinda ng'at kitu niliwai point tisa Haukuskia rumours haukuskia rumours (ooh) Muthurwa kuna charli alinyuria Haukuskia rumours haukuskia rumours Afande apo nyuma pia aliachaiwa mchuma Haukuskia rumours haukuskia rumours Pesa ya covid hao watiaji hauskii wamekula Haukuskia rumours haukuskia rumours Dera ya shawry ndo imetuma Mwangi akatumwa Tuko na joto so man maintain total Mangoto kwa mkono kaflexie uto tutoto Alienda courtko ju ya ngori ndogo Master wa keys auskii alibambwa kwa Kotkot Moshi kwa nasal, ati sina moral Na nyi mnakulana... ati oral Sossi icho kolo, pasishia mukuru Ati aache kuwaza na apunguze usoro Freestyler aliganda kwa battle flani ya Ondu Hangover kumwaora unaezadhani Gondu Vijana wapewe wera na peace ireign Umo tu Roba alienda ahera juu ya kusnatch note 2 Marapper ka si sijui tutaingia COTU Atuoni juu ka farmworker analipwanga soo tu Na Francis Atwoli, ye hudhani watu wako showroom Na roho juu nauliza kwani doo ya wasanii haitoki? Haukuskia rumours haukuskia rumours (ooh) Muthurwa kuna chargie alinyuria Haukuskia rumours haukuskia rumours Afande apo nyuma pia aliachaiwa mchuma Haukuskia rumours haukuskia rumours Pesa ya covid hao watiaji hauskii wamekula Haukuskia rumours haukuskia rumours Dera ya shawry ndo imetuma Mwangi akatumwa