Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Mihadarati şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: Haitaki Hasira

Unakonda kwa nini na ushaambiwa usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alikwambia usipatane na mihadarati

Mwalimu shule amelecture usipatane na mihadarati

Simple Boy amekushow usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati
Rong Rende

Kwa topic itakuwanga tu makali?
Ati moshi ndio ilifanya usione gari (yoh)
Driver ako under influence hatuendi mahali
Man's addicted hadi mtaa anakinda mali
Socks imefura ndo ujue rolls tunauza
Cops si huwakula bro si tushafungwa
Streets haina pupa, ukiinsist pia utakufa
Symo ako macoke bro ako machrome
Nani atazika nani? Mokoro anamourn
Bible haikutuwarn Yesu aliperform
Miracle ati ilichange maji to vodo
Uncle hudoze kwa trench, hausikii hivo ndio mi huambiwa
Ni feeling inaitwa kushika, liquor ikishikana na liver
Kwa diva aliingilia arifa, muulize
Sa hii amekua miezi pande za Ziwa
(Everybody's dancing in the moonlight
Everybody's dancing in the moonlight
Everybody's feeling warm and bright)
Unakonda kwa nini na ushaambiwa usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alikwambia usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Mwalimu shule amelecture usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Simple Boy amekushow usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati
Yoh
Unakonda kwa nini na ushaambiwa?
Naishi mtaa youths wamepagawa huku wengine wameachilia wire
Juu ya drugs, guns, violence mpaka kuna chokoch aliuawa
Plenty vices ndio maana approach ni marijuana
Niaje yout ako 25 akarape shosh wa 91?
I used to have this ex hata sisemi ni nani huskii
Face pretty, body risky, ngori ni ye hupenda whiskey
Ratchet chini ya maji but girl yu hushinda church
Tuliregret alikufa kaa amejifunika carpet chini ya bed
Sijakam kupreach injili, ila mihadarati tumeretreat
Na juu ya mama spirit yake
Wakadinali is for the kids
Give thanks japo tulipotezanga Maxxie
Heri kuishi bila politician tusijipakange marashi
Kuna msee alikua bigi ila ngirish juu ya kupata mabakshish
Akamove to South B mpaka pale C juu ya kupenda Ratish
(Everybody's dancing, dance dance)
Unakonda kwa nini na ushaambiwa usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alikwambia usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Mwalimu shule amelecture usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Simple Boy amekushow usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati
Rong Rende
Unakonda kwa nini na ushaambiwa usipatane na mihadarati
(Everybody's dancing in the moonlight
Everybody's dancing in the moonlight
Everybody's feeling warm and bright)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar