Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Ye ndio anataka) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (meza kitembe) Kama una noma na sisi basi useme (Kama una noma) Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Anataka nigenye) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (ndani ya walenje) Kama una noma na sisi basi useme (Basi useme) Kama una noma na sisi basi useme Mi sidai fom zako buda we ni msenge Jovie nimevuka ukuta na ni sing'eng'e Jovie ni mkubwa hi muda na si munene Chini ya mnazi mi nakula tu mareggea Jovie mnati mi nakula tu maveve Ka we sio ngati buda cheza kama wewe Nipate angani mi napaa kama mwewe Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Ye ndio anataka) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (meza kitembe) Kama una noma na sisi basi useme (Kama una noma) Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Anataka nigenye) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (ndani ya walenje) Kama una noma na sisi basi useme (Basi useme) Shida ni gani, shida ni gas Hadi mashinani ni shinanigance Gwaash toboka ama uanze kudance Rong rende na hefe na mambo grand Miti fifteen ndani ya walenje Over eighteen ndani ya rende Mimi na mbusii na masimba Kayole Tulichinja mbuzi so msi worry Nilienda Shangai kubuy supplies Mchina ni nani, hadi plastic kwa rice Mi ni Domani surprise Makamu wa rais hajajua jina ni nani Rubber dub na madobbah Ngeus alisema mi ni Maradona Ju niko kwa game kama golar Mascuff intercheck na Angola Ndani ya suby naguruma brr Mi sina subra Ju tuko ndani niko sure Tumetua itabidi wamejua Kembea kahaba wife sumbua Bangi, jaba, miraa na tuko tour Ukitry kunishow bangu imeland I guess uko sure Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Ye ndio anataka) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (meza kitembe) Kama una noma na sisi basi useme (Kama una noma) Mhh ha he, ye ndio anataka nigenye (Anataka nigenye) Ye ni lele ju alimangwa na kisenye (Manga kieseny) Meza kitembe zenye nimeficha ndani ya Walenje (ndani ya walenje) Kama una noma na sisi basi useme (Basi useme)