Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Peddle Bike şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: Haitaki Hasira


Sha, sha, chii
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo uki
MC Sharon what?
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes
Yoh pull up ndani ya colours za chui chui
Mans as if Mike Sonko Mbuvi, Mama Lucy
Still ndani ya street we are do it
Tuko on kama Steve Mbogo juzi huko Dusit
Mi sichezi hunijui
Napendwa na mashabik, God na tugroupies
It's always major mad tracks nikiweka chorus
Acha nikucounsel vizuri bila matusi
Oops ka ulijifanya makmende
Juu ulifinywa makende, shukuru bado uko
Ati wanataka Rong Rende
Moyo uende mahali roho iko
Yoh, mistari zangu zina chumvi
2016 nilienda uziwa na Royco
Mistari zangu zina chumvi
Utanipata niko kwa jiko
Yeah, come rain come shine all the time
Kila kona ndani ya Nai sai sai tunapeddle bike
Juu miradi ni mob kidesign
Paper chasing on the grind one time nikipeddle bike
Nacheki tu mambleina wakiwa mainformer
Nawaona 18 nikipeddle bike
Mitaani nakanyaga na maJs ndio swag
Kwenye feet pale down nikipeddle bike
Storyteller on the mic is Domani pia na Scar
Hii ndio domain ya kuignite this
Anticipated all along like a dime biz
Ingawa kuna wale itabidi wa despise this
Been a long time coming like a storm
Decibella ni See Mama Rocks spitting fire
Check the cause in my mouth please
From way back like Genesis imeniweza mouthpiece
On the hustle on the booth bila brake
Jah guide be siege, mixtapes for sale
Is a business thing up stake
Crème crème de la crème in bed
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Night game ni kupeddle bike
Uptown downtown nikipeddle bike
For stars ukiwai we skuma vibe
Si hufanya madharau
Aaah, na ikibidi mother zao
Nikifika unatii, nigga bow
Nishafanyanga hizi streets madhabau
Na sichomi picha, niko fresh angalau
Juu niko na watoto wanabeef baba zao
Niko na clique inarisk kubonga na mabeast
Lakini bado tunabishana nao
Tunapeddle bike
Nimefura mazgwembe juu ya kupeddle bike
Baby babe usinipende mi napenda ngwai
Msupa wako chunga ju rende unaweza enda naye
Tuma location tunakuja ka tumeenda live
Nakula ya kesho leo sababu mi hupenda life
Mi huwaga sinego nikifika, nikifika huwanga mengo
Kunishinda huwanga mtego
Kwa sababu mi hupenda knife ha ha ha
Vurugu ndio akome, vuvuvu juu ya kome
Na kahater ni katoto ka colle
Nikiwa msoto mfuko wako nikutombe
Nani ndio mzito cheki comments
Mi sibongangi na maopponents
Labda niwakange niwapone
Alafu matha yako aambiwe pole
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike
Nyuma opposition wanakusorora
Alafu down chini umedunga Nikes

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar