Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Man's Thanos şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: Haitaki Hasira

Man's nimegeuka thanos cheki hio wrist
Man's nimegeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker

Birthday present ilikuwa luminous Nike mbaka nayola
Pull up kwa scene one more time
Siko shy nywele nimedye
Kukiwa na msako, cops hadi fly wote wanywe chai
Best rapper wako akituona anafurahi
Tusibishane bishane maneno sidai
Youth waliseti pon the board
Ni kupona marauwo
Kutoka Hessy ajifanye karao
Nyi mnaniona mi naona mathao
Mbegu nilipanda naziombea mazao
Hii ni top notch hii ni ya wajanja
Eastlando hakuna mahali sina matanga
Nilitry siku moja just imagine na ilishindikana
Nilishindwa kulala bila silaha juu ya kitanda
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni ronger
Ka hununui ondoka niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa luminous Nike mbaka nayola
Man's nimegeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni ronger
Ka hununui ondoka niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa luminous Nike mbaka nayola
Ata shawry anaweza kuambia Dosh mi ni strict
Nilimwambia it's either akam akae na mimi
Ama nibaki nidu streets
Turudi street back to gangster shit kwani nyinyi mlidhani?
Babu wa Swaleh ndo jina Munga msanii
Hadi warambe wanajua mimi mjahidin
Ukifly Offset set Cardi B
Prr prr prr prrr yeah
Vijana warui tukimwita ni kuwashako gunga
Ye hugusa after Michael Olunga
Masaku hadi kwa Msakulu
Tuliulizwa mmekam tour ama mmekam kutuua
Man's nimegeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Man's nimegeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa luminous Nike mbaka nayola

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar