Yoh yoh Su su su su Shosh yangu ni gwangi Yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza Sichezi mimi ni bandi kila scene still aliumiza yoh Ka sina shillingi za peng najua haringi namanga aringi Uchumi inatuumiza Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla Miraa nilipunguza lakini hawaamini nikimanga binji Ka sina shillingi za peng ting na haringi namanga aringi Hii lifestyle yes napata ganji lakini inaniannoy Naenda mjini narudi, mjini narudi naget paranoia Naziuza hamsini hamsini hizi magunga na rizla We lala chini unaeza shootiwa kichwa Last week I made a profit, this week nina mafuta Sijali njege akinishika na chengerere hakuna mbrrcha Naishi ka Osama, Ito's kubebanga ni talanta Opps wakicheza nashanda manywele na mabeards naachanga Mtu wangu we na jeshi yako si aki mna maneno Tusawahi patana hizi streets juu nitakuvunja meno Hatujali wera yoyote sisi bora faida Rende imeharibika watakulwa mchana hakuna kusaidika Product of my nature kuna vitu sifeelingi sorry Vitu expensive ziunifanyanga nifeel lonely Shosh yangu ni gwangi Yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza Sichezi mimi ni bandi kila scene still angamiza yoh Ka sina shillingi za peng najua haringi namanga aringi Uchumi inatuumiza Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla Shosh huskii hatosh joh ng'orea cops walegalize it Sorry coplo usijali mimi ni mtumiaji bangi Haitaki hasira ni rahisi kwanza shika gbag usanif Na sitoi bongo labda mfungie kikolo Mzae joh hana hemp inabidi inabidi tukule korobo For two days sasa pedi amenipiga msasa Mteja hapatikani medi aliingilia siasa White man bado simpendi hata after kunipa independence Kitu ya mtu ni deni na usiwai toka ya besh Chege Town inaondokea Hessy yaani still anasafisha teke eeeh joh Hautaki kupatwa na reke I hope ulipata Ile message yenye tulituma na bullets Hamjui maana ya spending ndio maana mnapenda za bure Akili yako ndo safest usijijaze ka mbunge Tie up iyo shoe lace ushaskia babu ya Swaleh Sai unadeal na ndugu ya Suleh, kumbe Shosh yangu ni gwangi Yu sanif kwa ploti hata ka kuna giza Sichezi mimi ni bandi kila scene still angamiza yoh Ka sina shillingi za peng najua haringi namanga aringi Uchumi inatuumiza Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla, gunga na rizla, gunga na rizla Nauza gunga na rizla Shosh yangu ni gwangi nauza gunga na rizla