Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Clean Sheet şarkı sözleri

Sanatçı: Wakadinali

albüm: Haitaki Hasira


Drinks ndani ya ndinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga
Drinks ndani ya ndinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga
Nimedngia gwanda kikanzu ni ka niko Dubs
Manyuza hunibamba kwanza za Ayub
Ochu kalistafisha rice maaruf
MOI kidogo ago crazy '82
Tupwa kwa buti ukijidai ops
Uende south au majuu utaback home
Kama uko alive but broke
Ama dead rich huku peng ting ni ngumu kumshow click
Enzi za mcheti ziliisha ni sofe
Kulwa blindly kwa giza hapo pet in
Made in KE usimwage hapo Henny
Meditating tushachoma hedi
Slay queen alitaka kuenda na mimi
Dini inaruhusu nibebe wawili
Phone ndo msingi na phone haingii
Jo ningenokia mokoro wa Cindy
Drinks ndani ya ndinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga
Drinks ndani ya ndinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga
Nikikushow toka nduki basi do faster
Mi hukujanga kama hawkers
Outer road hawa marookies ni ma new hustlers
Wasee wa GOT huniitaki white walker
Shawry anawish tungelive like this forever
Hajali nani angonya at this endeavour
Sisi na masanse hucheza rock paper
Hawakushikangi with a girl ubebe drinks na mamzinga
Nikona number ya kila warden mabros wakitingwa
But wa round this alisema ilikua kubwa hio call walitinga
I used to be an African slave
Now am free from the shackles
Treat me like a bat am gon' turn to a scarecrow
Naskia buda si ubebe rota na hivo ndo niliota
Kudrika fiti East naishi pabaya na nimeng'orota
Si huzisundanga kwa mkebe za makaa
Tukitembeza drugs hadi kwa duka za Maasai
Drinks ndani ya dinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga
Drinks ndani ya dinga
Side chick ni dream girl
Kila kitu clean sheet
Kila kitu clean sheet
Sweatshirt, paper, drinks na matimber
Ngepa, Ray Ban, blings na mamzinga

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar