Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tot ya William Lawson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tot ya William Lawson Mix iyo shit usiputunywe Kama kuna chaser, zoza tu na kool-aid Kunis kulis tule tutwatu tangu shule sijai zoza shoelace Nime lelewa vibaya mwankule alinifundisha Tukiwatoka tuwakule Hata bila clout ya ufala uko ghafla, mi Nazoza bure Mtoto ngozi ni ya lotion, Munga akamchota Na moshi ya kalocal Magoro am dripping, leo ni leo Bro ali hema eeh, naskia alifungiwa na Amoko Nipate jiji natafata, nataka nimtravel barindi na tusker Unajifanya gangster na rasa shhh Kwanza we ni wa kununuanga raster Hosi kimbizwa faster, tai chi hundiwa plaster Pull up uko kwenu mko wawili na daga Nilimada mother, am sorry nili blanda Mi ni nani kwanza, Munga, the bounty hunter Kujia dem yako, amegeuka mahindi venye naipanda Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tot ya William Lawson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tot ya William Lawson (mambo grand) Nimekua og kutoka kitambo, boy wa 90s Sinanga mambo Nikona yengs moja mfiti haringi Anakunywa hata maji ya kanjo Kama amebeba unajua ni wa umo Ka ni weekendi unajua niko huko Nikitiki izo waresh kiuno Niko na ule dem anapenda kanungo Ndio nirudi westside, huko ndo home pahali mi hucheza Nazikapika mi hujenga geneza Step in the room, kunakatika hewa Hii tulifunga ka tumelewa, whatever you have nifiti ku share Tukiungana inakuanga fair Takable taka ndo chenye una pewa Huku Nairobi ni mambo na ganji Twakuzoea juu hata havutagi Watu kujudge ju hawaelewi Ati uko focus ju we huvuta bangi Hasana nauza hatakama imechapa Usafi kidogo nakupiga rangi Ndo nifike target, hazu kupinda kuuza ma cd na caset Design ya market, flow za kwanza buda na gendo izo asset Niko ma flossing, mauano izi ndo zile mi hueka kwa casket Nikona Munga, ye na kaliver Mayai zote, ndani ya basket Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tote ya William Lawson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tote ya William Lawson Chasing that law degree so just like William man ma Lawson K.O line up that beat that shot is bursting like a four sup Munga ashakushow kumess na rende, is the wrong one You know that we the best, so imma drake this like a more one Nachokora hi floor ni like am on gum Msupa akijipa, I think I shot it ain't a long one Mapedho si nakaa mbele ya jam doing wrong man Mzinga nakata ka ngori, jua kisu beyond son The content is here, naspit kwa mic huwa beyond baby Still asking who be the sickest here, that is Beyond say Domani keeps a light skin on his arm, that's His Beyonce Kiliva keep a peace inside the violence or its a gun play (puuuuu) Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Unajifanya gangster na rasa Ulikua unapaka Johnson Johnson Og kutoka kitambo, no introduction Man's am local Nilikachota na moshi ya local Tote ya William Lawson