Kali mmh Waah! Twende nayo tuskie inakujaje Na unaniona (yeah) vile hio story iko sawa sindio? Twende basi Hey wah! Hey I say Maybrell you killed this track (waah yeah, hey) Your one and only number one nimekuja Golden hand kitu gani nimeguza? Blood short Timo come nimevuva Siezi rudi wrong turn najituma Anytime wakizima tunawasha Kulegeza siwezi ata nikitaka We can't take it hio ujinga tuliwacha Vako za mayai, sisi tuko juu ya butter Bei inapanda ni ngumu kushuka Haingi wana try kunisuka Siezi acha biz ikagonga ukuta Fresh air hapa ni ganji tuna nusa Tuki pull up tunakujanga na rosa Ndani ya nyumba huwa ni ngumu kunikosa Hakuna siku tutasema imetosha (R-r kawaida ni kuzoza) Never been better, never been this nice Need to get fight when you live this life Limit the sky karibuni east side Toto figure number nane with an angle waistline Never been better, never been this nice Need to get fight when you live this life Limit the sky karibuni east side Toto figure number nane with an angle waistline Ni si hulost tukipiga corner moja Hatupendi beef, nyama ni mboga Zetu ni mandazi kwa duka na soda Si rahisi, kulalisha order Brown bag utadhani ni kahawa Checkin' on me ati kama niko sawa So, sick ati wanasema niko dawa Only down for the money and the power Utatupata farm bado tunalima Polepole yani tunajenga jina Get busy wasiseme tuna pima Kunarada transmitter ikizima Hakuna leftover tukimanga dinner Si hukata keki tukiwa na ngima Wanajuwa moto sawa na stima (Kawaida yetu ku simama wima) Never been better, never been this nice Need to get fight when you live this life Limit the sky karibuni east side Toto figure number nane with an angle waistline Never been better, never been this nice Need to get fight when you live this life Limit the sky karibuni east side Toto figure number nane with an angle waistline