Namshow a-kam izi sides Juu uku pekee ndo anaeza kuwa safe (Safe) Na juu siko willing ku-hide Balaclava on nafunika face (No face no case) Tuko ready ku-put up a fight As long mwishowe kuna ganji ntamake All I'm doing is paying the price Turn a new leaf,tuna-flip io page (Ayy) Doing this with all my might Best in the game there ain't no debate Vile ako siaka,morio ako flight Juu si ndo ma-pro tuna-run ii game Vuta ma-foreign,toka Dubai Pussy ass niggas hupiga ma-vape (Pussy!) Been Overworking mahn,why lie? But I hope io bidii siku moja ita-pay Ukikosa ku-check your mate Ndo uyo mimi nam-play kaa chess (Check maaaate) Nikisonga,nazidisha pace Don't try me usini-put to a test Pale twitter mi ni Andrew Tate,kumbe nina mpoa kando yangu kwa bed Mi hupenda kitu wao u-hate,never compare me with anyone else Kama Kipchoge na-run hii game,trying my best to be one of the best Apart from ganji nadai tu fame Na kitu sidai ni msee anani-mess (Mmh mmh) Kwa hii life hatu-deal na ma-snakes,buda fuck off joh,kaa we ni pest N.A.F.F,that's my name,A.R.I.O.H,ndo tunai-spell Alicheza na nare akachomwa,usiulize mbona hananga esteem No face hauezi niona Mi hukuwa na mask,adi kwa ID (The fuck!) Uyo boy alishikwa na trauma,after kucheza na wale wazii Tungekuwa na yeye for a bit longer Saii joh bruv angekuwanga deceased (Boom) Mi hushangaanga ni lini nta-blow up,mazee niomoke nisare za streets Kaa ni show si unajua tuna-show up Kama ma-pro tunamada hio shit (Mada) Awa watoi itabidi wame-grow up Ama tuwa-show vile si hu-do ma-snitch (Tuwashow) 24/7 nasaka hio guap,mwisho wa wiki ndo mi naji-treat Mi humove kaa thegi mtaani washow ni Messiah wakidaisha "Ni nani?" Kwa block ndo mi hu-get sturdy Who the fuck said I can't be an athlete (The Fuck) Kwa riba nawaachanga hanging,fungia meno,what the F is funny Though tuna-move bila planning Si unajua outcome hukuwa too massive (Masssive) Unadai unanijua,that's funny 'Cause I never been showing my face to the public (Never) 24/7 I keep it a hunnid,no cap,on God si unaju si danganyi Mi ndo MESSIAH natawala hood,mi na binadamuu uskii atupatani Mi ndo MESSIAH natawala hood,mi na binadamuu uskii atupatani Tushakata na azijapanda,tunaadisia ma-cannabis Tunasakasakwa na mambang'a,si unajua riba ukuwa hide & seek Crystal clear design ya waba,sibongi kuhusu dasani (Waba) Fala kunibongesha mbaya,hajui joh io ni blasphemy Tushakata na azijapanda,tunaadisia ma-cannabis Tunasakasakwa na mambang'a,si unajua riba ukuwa hide & seek Crystal clear design ya waba,sibongi kuhusu dasani Fala kunibongesha mbaya,hajui joh io ni blasphemy (Hajuiii!)