Now that you are in my heart today Jesus know that this is where i want you to stay You embraced me and you made the pain go away Milele baba naomba, wewe unitumie Nituie baba aah, nitumie eeh Nitumie baba utakavyo Mungu baba namba moja, wewe umesifiwa Macho yangu yatazama urembo wako wavutia Kinywa changu chakusifu kila siku mimi ninachangamka Machozi yote umenifuta Kilio sasa kimekwisha, hakuna tena wolololo eeh ooh Maisha yangu, chukua Mawazo yangu, chukua Kipawa changu baba ulinipa sasa tumia Moyo wangu, safisha Maombi yangu, sikia Kipawa changu baba ulinipa sasa tumia You changed my life and now i'm free I never ever want it to be the same Nimejitoa leo nitumie eeh