Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mimi nauliza, 'nianze wapi?' Marafiki wangu wote wamenikimbia Jehovah nissi nalia, nihurumie Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako Nipe uwezo, uwezo Wakusimama imara juu ya neno lako Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu Sasa mimi naumia, niende wapi Maumivu, machungu mingi yamenijaza mimi Jehovah nissi nalia, nihurum