Kishore Kumar Hits

Mejja - Naitwa Mejja şarkı sözleri

Sanatçı: Mejja

albüm: Naitwa Mejja


Niaje Mejja, eeh sema jo Nasha Jo
Niko poa sana
Acha ujinga we wakuwa nani e jamani
Ah salala wanitukana niaje tena
Ah si hivyo nataka kujua we ni nani?
Wataka kujua mi ni nani vako zangu ni gani?
Mi naitwa Mejja na mi napenda ndom
Na mi napenda vibe (Haiyaa)
Nimeshika hadi Bongo wanapenda genge
Wanaiita vaibu
Manze I'm a dad na bado nawaroga
Ndio time iko tight
Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha
Jua kukaa na watu (Muhimu)
Mi hukuwa na mabeste few (So few)
Mbona wengi na wachache ndio watrue (Very true)
Btw napenda ndegu ka stew (Aii aii)
Eunice Njeri kwangu ako juu
Sikuja Nairobi by birth
Nilikuja Nairobi by bus, bus
Mi siwezi kaa
Niko mraa nikisaka hii chapaa aah
Genge ni hewa napumua
Ukininyima ni sawa na kuniua aah
Sitachoka kuandika
Hizi magenge mchunishe kwa speaker
Mi naitwa Mejja na mi napenda ndom
Na mi napenda vibe (Haiyaa)
Nimeshika hadi Bongo wanapenda genge
Wanaiita vaibu
Manze I'm a dad na bado nawaroga
Ndio time iko tight
Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha
Jua kukaa na watu (Muhimu)
Ah Mejja hangover dawa
Ah sawa ya hangover supu
Kwanza ile supu huchapwa na kibuyu
Ah nisha basi tupatie sauti we nawe (Aah)
Tell me what you want
Tell me wha you want yeah.
Mi naitwa Nasha na mi napenda queens
Na mi napenda vibe
Nimeshika hadi Dar wanasema mi mweupe
Wananiita mi Mwarabu
Nimetoka Pwani nataka nishike jiji
Ndio time iko tight
Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha
Jua kukaa na watu
Eeh Nasha sauti imenizingua (Aah we naye)
Aah Nasha
Mavo on the Beat

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar