Mmmh aah kabaya (Ricco Beats Mr 808) Unadhani ni wako sio wako Ala! Unajam na mambo bado Naiseti fiti anaihandle Tukimaliza arudi kwako Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Jaber, kairetu kwa Mpasho, Jicho pevu Ulisorora simu ndo ujam tu Na ukizubaa atapanda mbegu Aliacha slay ju ya Kienyeji Amberay hii kitu ni ya wengi Yako ni ugali anataka keki Wacha kujistress hakuna mapenzi Hukuwai ambiwa plenty fish in the sea Hii game ni ya wanjanja we cheza left wing Thru'pass hadi mtu hungewaidhani Ogopa mwenye atapea hadi wochi Unadhani ni wako sio wako Ala unajam na mambo bado Naiseti fiti anaihandle Tukimaliza arudi kwako Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu (Okwonko) Ni wako akiwa kwako Akitoka nje ni wetu Nikuuulize ndio akuje kwako Alikuwa wapi si alikuwa kwetu Buda boss acha kubonda Mimi na wewe ni shareholders Asanti ulimbyia nguo Alikuja ameing'ara Nilimnyandua na hio nguo Ile nguo ulimnunulia Najua inauma isitoshe yaani Kanairo sharing is caring Kama umecatch we move on Me am the shoulder to lean on Ukifanya alie anakuja kwangu Nambembeleza tunaenda kwangu Unadhani ni wako sio wako Ala unajam na mambo bado Naiseti fiti anaihandle Tukimaliza arudi kwako Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu Sio wako,ni wetu