Kishore Kumar Hits

Breeder LW - Masaa Ni Mbaya şarkı sözleri

Sanatçı: Breeder LW

albüm: Masaa Ni Mbaya


We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
Masaa ni mbaya tuko mbaya niko Ungwaro 46
Kuna rapper aliniseti nikashikwa na police
Usoro me sitaki niko kwa cover ya magazine
Nikibuy ndai soon itabidi imepigwa tint
All my exes wanadai ni come through
Bado me na father game kama Kagwe na Kahush
FYI, Kila siku haifanani
Leo tunaeza cheka cheka kesho siko in the mood, Na
Nikidedi saa hii niko sure ntamake news
Ju ma fan wananipenda na ma hater bado few
Na uki spot Nikey ticks on the shoes
Kuwa sure ni zenyewe, cloth line coming soon
Ah
Papa Fathela, wakiitisha nawapea
Na kunatupa kwani buda ume dhefea?
Black monalisa, melanin pia imeshika
When I pull up to the spot hatutoki bila giza
Ah
Kuna tothi aliuziwa nyong'inyo thao
You know we getting money niko ma washika dau
Walisema no smoking tukai blaze nyuma ya ploti
Sa nashinda nikihama ju ma landii ni wa nosy
We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
Sio ma banger pekee yake me nawezesha na skill
Ma shawtty wananipenda ka ule singer wa Billie Jean
Top 5 ju sipendi number 6
Ni saa tisa asubuhi tuko jaba na ma gin
Bust a move unaeza lean back kiasi
Ma mba'nga washa ni spot nina mbichwa kwa shati
Afisa manze pole, samahani
But cell me silali sema tu utakula ngapi
Me si fan wa man u ju sipendangi hio jersey
Paper chase daily kila area niko ndani
Ni Maombi ya mokoro ndio hunilinda
Vile ma soshi huringa huwezi jua wanaogopa mimba
Nina 100 niggas kwa payroll si streets
We ulikuanga zoza buda tusha ku impeach
Age unani double
Skill naku tripple
Curfew jo inaboh kuzidisha niko single
Debe inachuna tuna lose, control
Shash kwa hii medulla niko high, ozone
Ka unakuja sleep over spray marash, cologne
Na toka nikue ryma me hulike mamboch
We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
We goin in na the mbogi tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler kuzi mix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar