Si uongo napenda wasichana Niko lodgo na bibi ni wa Allan Ju ni morio after this ni lawama Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Simu flight mode siko Patana na msupa hapo kwa inbox Ashasema ati Fadhela si tu link up Nayo nayo nikamsho io ni simple Next day hizo ma vida asha repost Hapo hapo kwa Edgar Obare ndio ziko Ndio maana chali yake ako pissed off Na Mechi ilishaanza kabla kick off Lakini buuudaa please note Huyu msupa alinimada na mastingo Alinivua trao boxer na ma reebooks Nashindwa ni uchawi ama alizaliwa ivo Hah Hii Nairobi chunga bibi Kuna ma fisi ma gyallis ma gwiji Na ukitokwa usiingize baridi Ni kawaida ni tabia za jiji Si uongo napenda wasichana Niko lodgo na bibi ni wa Allan Ju ni morio after this ni lawama Na sitakima missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Sijaijua kumbe Allano ni FBI Ameni ambush,ki ghafla nisi try hide Lakini nishapanda mbegu sa in case I die Me ni Bazenga daddii Ntago down in style Maswali mob Ati Breeder mbona umezima line Na uko hapa lodgo unanilimia wife Me siamini ati we ni morio wa mine Na leo ni leo na hautoki hapa alive Natetemeka mbele ya itoka unaeza zirai aii Na siezi fly saa hii kwa hii scene ya crime aii Ashai ki cock ashanipiga na bye bye Wife yake ni manduru aki wika gai gai After trigger kuipresss ndeng'a ikajam Me ni nani hapo kwa window si nika jump Mguu niponye natoka siaka me niki run Mungu asanti acha leo me nika some psalms Si uongo napenda wasichana Niko lodgo na bibi ni wa Allan Ju ni morio after this ni lawama Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Ntazima simu ndio asipige pige sana Na sitaki ma missed call bana Ntazima simu ndio asipige pige sana