Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Vile we hunimaliza sijui ka una clue Ever since last time me hukuwaza tu Come thru my boo Huna vibe ya udo Una class haina wengi we hunibamba tuuu Na Ka uko single tunaeza mingle hadi ugiggle You ready for some action ka movie ya Steven Seagul Ju vile nakunauowo walai si ni illegal You body jeje, uki smile pia ni dimple Mmh Kuna kitu naona kwako,special With you naeza settle Hao wengine bado level I reckon,We hujicheki kwa kioo pia unatii Kwani Jah jah akikuumba ilikua saa ngapi We ni over 18 tusi udhii wazazii Ju ikikuja misbehaving me nakuanga juu ya list Kisses for breakfast,na touching ni tender Ntafanya napepea ka aladin juu mkeka So later we can link up Unaeza vaa off shoulder Na paka ilete shida basi bring it to owner Ssshh ntaki light ndio usifike nikiwa sober Ntageuka vegetarian vile jo ushatosha mboga You know I keep it real ka unajua me ni nani I'm into you for real, If I'm lying Im dying Bazenga ushanibamba hadi nabonga kilami Ukifika kwa mlango ring the bell niko ndani Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama No fliter,ukipita bado watavunja vichwa Jaber dendi liet kama jua ya saa sita Ka utakua wangu ndio ntajua nina kissmart Na hizi ganji zangu we ukitaka utamaliza Your wish is my command ka ukidai niache FIFA PS5 ni nini me ntaitupa ndani ya pipa I swear wifing you ndio motive ya hii ballad Bounce hapo juu yangu na usipoteze balance Romance kwangu ni me and you tukiwa wawili Tukibadilishana dna bila any Uko under arrest fadhela ashaku cuff Tom ford on your neck unanukia na si bluff TKlan president na deserve my first lady Drip huwa sheria na sijai work navy Nakucheki ukinicheki na hizo macho zako sexy Sexiness galore teasing me and acting crazy Lingerie kwa dim lights Asha ubani me si mind Sweet wine na cloud 9 Imagine ziki coincide We ni sagittarius me ni cancer mamii Alphabetically,unaeza weka D ndani kwa P Uki ni C, utajua Y we were destined to be Girl I love the way you put it on me After foreplay kabla me ni proceed Si ati nachocha utatekwa utatii Nataka tuchome kimoja, nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Nataka tuchome kimoja nikupe ghetto love, mama Kwangu uwe number moja amini utafurahiii Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama Me nataka leo nikupe love, me nataka leo pia we unipe love mama