Ukipanda ligi unafaa kujigamba Ku flex huanga gharama Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara Depo ziii baada ya janta leta ma bramba Wakisema unajifanya Si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda design ya irori Uswahilini husema bei ni ghali Sitaki hio mchezo ya ndai ni ndai Bei imepanda na pree ferrari Ka ni kurau ni very early Kuzikusanya ni daily habit Naiga Van Persie bei ilipanda akatoka Arsenali Bei imepanda lakini ya PS5 tunangoja ishuke Denri mbichi hazilali kwa kamba ama utazikosa shoke Bei imepanda najifanya bubu ka story hubongi ya pake Bei ilipanda nikatoka msupa nikaanza kusuka mathake Campo ariff second year alisare Na ni kwa nini Fee ilipanda Kukinyesha we chorea ma nganya Na ni kwa nini Fare hupanda Bei imepanda nadai Tanasha Na ni kwa nini Ndio nikue step father Niko na kwetu,me ni ja usonga nikiukata siezi zikwa lang'ata Na sipigi lap ka sii ganji imenitoa Panda bei mpaka hater aseme unafanya kazi poa Ka ulipata rona uliza nani ali kohoa Wametry kutuondoa naona bado wajatoboa Ngoma ka imeshika unakatika sure Drip ikikubali we mwagika loa Ukipata ayela na amejipa oa Na ni smooth amenyoa Bazenga atabomoa Statue mi nataka isundwe hapo kando ya Mboya Man a heavyweight me ni black De la Hoya Hapa kila kesi tuna solve bila lawyer Chai si ya edgar chai ni ya soya Ukipanda ligi unafaa kujigamba Ku flex huanga gharama Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara Depo ziii baada ya janta leta ma bramba Wakisema unajifanya Si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda nilipe ndio nije matanga Mi nakuita mshamba ka we unangoja nirudi moshadha Zile mboka mi napanga usinilipe ni ka doo unachanga Ati bob bob eh buda mi nitakuganga Hii pete ilipatanga chanda Na ni kwa nini bei imepanda Usiku ni kazi napanga Na ni kwa nini Sina kitanda Safari inasonga na nganya ambia mahater wafunge mikanda Hii doba imekuja kuhanya vile inatesa ni vol kupanda, ayy Vol kupanda kwenye videsa nachocha na TK Bars on bars kutamba vile ni kubaya tumeleta decay Fresh utadhani ni pk umestarve we ngoja nipike Jaduong akisema nisike kenye anamean ni buda nishike Ni simba lakini ni jike na bado nawinda so bana nipishe Hii kitu lazima ijipe mi niko macho hadi jimbi liwike Ka ni collabo sipeani sare ju mi pia nili kanja the weekend Usikurupukwe ndio ati mi nilipuke nauwa ndio nyinyi mzike So bei imepanda buda nasema ati bei imepanda Na bei ikipanda mi huwa nachachisha kama makanga Nilisare kibanda walai ata heri nikose kumanga Bei imepanda wacha kulia ati uko dimanga Ukipanda ligi unafaa kujigamba Ku flex huanga gharama Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara Depo ziii baada ya janta leta ma bramba Wakisema unajifanya Si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda