Kishore Kumar Hits

Breeder LW - Tulifanya Nini Jana şarkı sözleri

Sanatçı: Breeder LW

albüm: Vibes & Ting


Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Nataka nijue
Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue
Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue
Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue
Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue
Wa Wa Wa Wataitana, wakiskia kile tulifanya Jana
Na kawaida sherehe haikosi drama
So the next morning nabadilisha number
Ju kuna msupa niliteka jana
Na ni msupa wa msupa wa kama
So Big Baba naapa ya kwamba
Hawa wasupaa nachora sasa
Hah!
Na Jana si ilikua siku fiti
Wapoa mwah! Fine and pretty
The body killer danger risky
Utakunywa nini, Gin ama whiskey?
On that note leta crate Ka mbili
Ongeza shots na zikuje na risiti
Jemapel Bazenga Dadii
Comosava my Sherri
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Nataka nijue
Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue
Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue
Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue
Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue
Wa Wa Wa Wataitana, wakiskia kile tulifanya Jana
Na kawaida sherehe haikosi drama
So the next morning nabadilisha number
Ju kuna msupa niliteka jana
Na ni msupa wa msupa wa kama
So Big Baba naapa ya kwamba
Hawa wasupaa nachora sasa
Hah!
Na Jana si ilikua siku fiti
Wapoa mwah! Fine and pretty
The body killer danger risky
Utakunywa nini, Gin ama whiskey?
On that note leta crate Ka mbili
Ongeza shots na zikuje na risiti
Jemapel Bazenga Dadii
Comosava my Sherri
Macho mi nikifikicha nawakumbuka wasichana
Niambie bila kunificha ni visanga gani tulifanya?
Maana bado mi sipati picha, kile tulifanya Jana
Sijui tulichoma picha ama tulisababisha
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Nataka nijue
Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue
Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue
Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue
Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue
Nilikua Jing my G na jicho nyanya Chinese beijing
Hadi simu ilivunjika screen
We si unajua vile si huchafua scene
Kuna Fala aliwekewa Mchele
Alirauka bila tenje na walenje
Bila shati na ako ndani ya stenje
Na anataka Bibi yake ndio amwendee
Ulevi hukua tamu Sana ukiwa na your gang
Na Ukilewa uko solo what a gwan
Uki sip na ukipuff uki sip na ukipuff ukisip utjipata Dreamland
Na hangi flani haiishi, kwani Jana nilikunywa nini?
Na hii pombe mi nitaacha lini? Next time siendi kunywa na nyinyi
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe
Tulifanya nini Jana? Nataka nijue
Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue
Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue
Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue
Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar