Ohhhhh Sozi Sozi Sozi eh sikia Sozi Sozi we usinyamaze Moyoni naumia Moyoni nimekatwa kweli sina raha Labda siku labda siku yaja Labda siku labda siku yaja Tutapenda tena Tutakuwa tena Moyoni tuwe pamoja Kwani kimya mpenzi mbona tuko mbali Mbona hivyo labda labda tufe wote Tutapenda tena tutakuwa tena bora tufe wote oooh ma Sazile sazile sazile sazile sazile sazile sazile sazile Ukinihata mpenzi wanipata ukinihata mpenzi nakupata Ukinihata mpenzi na kuhisi ukinihata mpenzi uko pale Sazile sazile sazile sazile sazile sazile sazile sazile Nakutaka kila wakati mama sina nguvu bila wewe mama Sina uhai bila wewe mwisho bila wewe mie hadi kufa Tamati natia nanga mwisho wa safari nimefika mama Moyo wangu wapiga konde nimechoka mpenzi Tutapenda tena hadi mwisho Tutakuwa tena hadi mwisho Bora tufe wote hadi mwisho Kama ni wewe mboni ya macho yangu Kama ni wewe moyo wa moyo wangu Tutapenda penda hadi mwisho Tutakuwa tena hadi mwisho Bora tufe wote hadi mwisho Kama ni wewe mboni ya macho yangu Kama ni wewe moyo wa moyo wangu Tutapenda tena hadi mwisho Tutakuwa tena hadi mwisho Bora tufe wote hadi mwisho