Kishore Kumar Hits

Boutross - Mbona şarkı sözleri

Sanatçı: Boutross

albüm: 6ixviewsii8k (Deluxe)

Ayy, Ceezy pass me the lighter
Yoh, Ceezy pass me the lighter
Mi huingia base naitinga Geri haijali makali mapinga
Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa
Nilipatwa niki...
Aah, aye, aye, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah
Mi huingia base naitinga Geri haijali makali mapinga
Ngeus alitry kunitinga shida alipata kundule imetingwa
Nilipatwa nikiseti nikashikwa nikauliza mambang'a mnadai mapinga
We ulikuwa wa kwanza kunitoka sai unateta ati Bouti' anaringa
Mi nimelelewa jiji tangu enzi za mabolo na Fila
Kukuwa mauru lazima tangu niingiage na braids Mbicha
Hata wahenga walinena bado walidedi na stori ikaskika
So ata ukichotwa na dinga onyesha hiyo ndole ukizima
Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang
Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang
Mbona sitense mbona nipate maganji nisiflex
Mbona ni yengs hufanya maboy waingie kwa den?
Mbona Kairetu aliendaga na boy wangu mengo?
Mbona ni sare na nyi mko kwa keja na pool na Benz?
Ha, ha, ka si midesh (Ha)
Vile na ah, ah barafu kwa neck
Shawty ni snake (Ah) nakata the neck (Ah)
Bouti the shrap god ikiwa na Ceezy ni banger
Siku hizi the boys are hateful ukitry kuzoza mabooster faithful
Vile maboy wanabonga
Mi hucheka na team tukikula ndengu
Juu ya mahali nimetoka kurudi sidhani I'm able
So ukishika makali utanyongwa Bouti anazidi kusonga (Ha)
Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang
Mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar