Kishore Kumar Hits

Boutross - I'm Sorry şarkı sözleri

Sanatçı: Boutross

albüm: I'm Sorry


Ona mi huserve mafiend
Tuseme mi huserve mafiend
Yeah yeah
Eey yeah yeah
I'm sorry nilianza kusonga (yeah)
I'm sorry ulibaki umechill (chill)
Local niliwacha kuchoma (choma)
Mali me hutoa overseas (yeah yeah)
Kusota ni something obvious (uuhh)
Lazima ni serve mafiend (fiend)
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (prr prr prrr)
I'm sorry nilianza kusonga (yeah)
I'm sorry ulibaki umechill (chill)
Local niliwacha kuchoma (choma)
Mali me hutoa overseas (yeah yeah)
Kusota ni something obvious (uuhh)
Lazima ni serve mafiend (fiend)
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (prr prrr prr)
Mes alinichapia nini
Kucheza na gang ni risky (ni risky)
Buda nilisare mafiends hawanipatiangi ganji hiyo ni fishy (yeah)
Kucheza na Bouty ni tricky (tricky)
Wao husema Bouty ni pinji (uuhh)
Siku hizi nilisare za frisking siku hizi Bouty huuzanga masweety
Unashika makali ka charm (charm)
Risasi ilipigwa akarun
Bouty kuna kitu nililearn (uuhh)
Zogo haiendi mahali (mahali)
Vile aliponwa na fahm
I hope my nigga alilearn
Vile ubeshte na bizz haipatani hiyo ni ukweli si utani
Ni noma, ni nono uko kwa umbali sitaona (sitaona)
Ni noma, ni nono uko kwa umbali sitaona
Ni noma, ni noma chingri cheza na ngoma
Ni noma, ni noma vidole kwa mwenye anabonga
I'm sorry nilianza kusonga (yeah)
I'm sorry ulibaki umechill (chill)
Local niliwacha kuchoma (choma)
Mali me hutoa overseas (yeah yeah)
Kusota ni something obvious (uuhh)
Lazima ni serve mafiend (fiend)
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (prr prr prr)
I'm sorry nilianza kusonga (yeah)
I'm sorry ulibaki umechill (chill)
Local niliwacha kuchoma (choma)
Mali me hutoa overseas (yeah yeah)
Kusota ni something obvious (uuhh)
Lazima ni serve mafiend (fiend)
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (prr prr prrr)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar