Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go) Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go) Ushaiona meno inaglisten Kifua ina ma cling cling cling cling Gelato ndio mimi na stink Kwa hiyo amiri na jale ya mawinch wich Hiyo uso umedunga ni vintage Ushaitry kuipaka the vaseline Hizi vibe una leta ni tricky Nyi ndio huvuta manyasi kwa picnic Hii ngoma ina essence ya wizkid Chibalonza na gospel ya big pin Wakinichocha nawachukulia meeting Nawachukulia choma na whiskey Chinchilla imenifika hadi chin chin Vile snow inanipiga baridi Kuna kitu inashine kwa hizo teeth teeth Hadi nashindwa kubonga vifiti Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go) Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go) Alililianga vitamin Saa hiyo sikuwa hata na single man Ngori ilimfuata na vita man Juu mbogi iliswallow the single ten Walinikatianga hata stima then Fuse nikarudisha kwa meter man Wanathani mi mjinga yeah Sherehe haiwezi katika man Kijana ameshikilia city Nikuchoche ati mimi si ringi Pilipili inakuashia nini? Vile ulikula hizo vitu vi greedy But mbeibe alitry kunishika man Nikamwambia baby I'm innocent But vile ngeus aliniita tena Nilimpiga hiyo smile ya adolescence Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go) Meno ni silver like Wizo man Beef kwenye table is sizzling Nadeliver like the pizza man Loud inashika like Chivas man Cheki Nairobi ina snow (snow) But yangu haikatwi na ritalin (yeah) Cheki hiyo mbogi ina go (go) Cheki vile mbogi ina go (go)