Kishore Kumar Hits

Manasseh Shalom - Unyogovu şarkı sözleri

Sanatçı: Manasseh Shalom

albüm: Ndoa


Kuishi nitaishi
Kucheka nitacheka
Huzuni nitapona

Umeridhisha noyo
Ukanipa pendo
Usiku ni mchache
Kilio cha leo tusahau

Raha ya jana tukumbuke
Adui yangu unyogovu
Kwaheri Leo nimesimama

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar