Kishore Kumar Hits

Manasseh Shalom - Ngwatila şarkı sözleri

Sanatçı: Manasseh Shalom

albüm: Ndoa


Siku moja nitaangaa nivuke kwenye milima
Maisha haya yataomoka shida ziongezeke
Lakini n'takuwa na wewe
Nipambane na wewe
Asubuhi tufike na wewe
Ngwatila mwendwa ngwatila
Ndukandie ngwatila
Asubuhi tufike na wewe
Marafiki walitudharau
Baby tutawasili
Hawakujua kwamba maisha
Maisha ni mviringo
Masengenyo tumewachia ambao hawana utu
Kazi tutachapa mikono itoe moshi
Siogopi aibu
Sababu n'takuwa na wewe
Stay with me tufike na wewe
Shikilia na mimi one day we will make it
Mola nikifika naomba nisiringe
Niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
Niweke kiboko nikiwadharau wanaopanda mbegu
Mola nikifika naomba nisiringe
Niwe fahari ya nyumba ya baba yangu
Niweke kiboko nikiwadharau wanaopanda mbegu
Naomba niwe na wewe
Nifike na wewe
Nipambane na wewe
Maisha n'malize na wewe
Niwe na wewe
Nifike na wewe
Nipambane na wewe
Maisha n'malize na wewe
Nwatile Mwiai ngwatile
Ndukandie ngwatile ngwatile
Maisha n'malize na wewe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar